Thursday, December 19, 2013

Semina kubwa ya kufunga mwaka, Tabata, Amani

Photo: Today I am going to preach about the stars,remember the Wisemen saw the star of Jesus, for them to bring the blessing. A lot of people's star have have been stolen and being used, come and hear the deep revelation from the throne of mercy, and your life will never be the same.
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12

Tuesday, December 17, 2013

ASKOFU DUNSTAN MABOYA APATA MSIBA


Askofu Mkuu wa kanisa la Calvary Assemblies of God (C.A.G), Dustan Haulle Maboya afiwa na Mama yake Mzazi ambaye ni Mrs Serwin Maboya aliye fariki eneo la Manda, Nyasa.

BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIBARIKIWE.

Monday, December 16, 2013

WAFAHAMU WATUMISHI WA MUNGU WANAO FANYA MAAMUZI MAKUBWA KATIKA NCHI YA TANZANIA


Na Robert E. Maziku
Bwana Yesu asifiwe.
Leo nimeona nikufahamishe baadhi ya viongozi pengine wafanya maamuzi makubwa katika nchi ya Tanzania walio okoka, hii yaweza ikawa Bungeni, Ndani ya Baraza la Mawaziri au ndani ya Halmashauri(Diwani).
Lengo ni kuonesha kuwa yote yanawezekana kwa wewe uliyeokoka, Naamini si wewe unaye ishi bali Kristo ndani yako. Pia hutumii akili yako katika mambo yako bali kwa uongozi wa Roho Mtakatifu aliye achiliwa kwako akiwa kama Msaidizi, Mfariji, Kiongozi, Mshauri na Mwelekezi kwako. Basi ikiwa ndivyo ilivyo basi wewe wafaa sana katika kuhusika katika maamuzi makubwa ndani ya taasisi zetu za Serikali kwani hautakuwa wewe unafanya maamuzi bali Kristo ndani yako, pia itakuwa Roho Mtakatifu kahusika katika upatikanaji wa uamuzi wako kwani yeye ni MSHAURI kwako.
WACHUNGAJI WALIO KATIKA MAAMUZI                                                                                                                        
Mch. Israel Natse (Mbunge)
Mch. Getrude Rwakatale (Mbunge).
  Mch. Peter Msigwa (Mbunge)
 Mch. Luckson Mwanjale (Mbunge)

Washirika/Wapendwa walioko Bungeni
   Marry Mwanjelwa (Mbunge)
   Lolesia Bukwimba (Mbunge)
     Joshua Nassari (Mbunge)
  Martha Mlata (Mbunge)

Hawa ni Baadhi ninao wafahamu mimi, kama hayupo unae mfahamu wewe haimaanishi hastahili kuwepo kwenye orodha.
MUNGU AWABARIKI WOTE

Thursday, December 12, 2013

WAKRISTO TUWE NA VYANZO MBALIMBALI VYA MAPATO:Mchungaji Jennifer

INJILI NA UCHUMI, 

KUWA MKRISTO HAIMAANISHI KUWA MDHAIFU KIUCHUMI. TUMSIKILIZE/KUMWANGALIA MCHUNGAJI JENNIFER KUTOKA KANISA LA CALVARY ARUSHA (SOMBETINI) AKIFAFANUA.

Nyumba ya Askofu Desmond Tutu yavamiwa


Askofu Desmond Tutu Afrika Kusini alipokuwa anahutubia kwenye ibada ya Mandela

Wezi wamevunja na kuingia nyumbani kwa Askofu mstaafu Desmond Tutu.Polisi wamesema wizi huo ulifanyika wakati bwana Tutu akiwa katika ibada ya Nelson Mandela Mjini Johannesberg.Inaarifiwa Tutu aliibiwa vitu vyake wakati akiwa anahudhuria ibada maalum ya kumuaga Hayati Nelson Mandela siku ya Jumanne. 

Aidha wameelezea kuwa uvamizi ulifanyika nyumbani kwake mjini Cape Town Ahamisi jioni baada ya kutoa hotuba katika ibada ya Mandela siku hiyo.
Ibada hiyo ilifanyika katika uwanja wa FNB mtaani Soweto.Wizi na uvamizi wa nyumba za watu ni jambo la kawaida nchini Afrika Kusini ambako visa vya uhalifu viko juu sana

Source:bbcswahili


HON. GEODAVY


A MESSAGE FROM H.E HON. GEORDAVIE, THE PRESIDING ARCHBISHOP FATHER, FOUNDING PRESIDENT OF THE GCM - N.Y.U. DIPLOMATS WORLDWIDE AND N.Y.U. FM RADIO 99.2 ARUSHA:

1. "MAY THE LORD GOD ALMIGHTY, GIVE YOU STRENGTH OVER ALL THE GIANTS AROUND YOU, 

2. MAY YOU FIND HAPPINESS, PEACE AND JOY UNSPEAKABLE IN THE SIMPLICITY OF GOD's ANSWER TO YOU IN DUE SEASON, 

3. MAY THE LORD GRANT YOU THE UNDERSTANDING GRACE TO DIFFERENTIATE SEASONS AND LEARN TO APPRECIATE EVERY SINGLE BLESSING UPON YOUR LIFE THRU OUR LORD AND SAVIOR JESUS CHRIST"