BIBLIA TAKATIFU
NENO LA KWELI LA MUNGU |
Kwanza lilikua neno la kigriki cha kale au kiyunani. linaonekana katika mathayo 1:1 {kitabu cha YESU KRISTO.......} na Luka 4:17 {Akapewa chuo cha nabii isaya, akakifungua chuo akatafuta palipoandikwa}
na penginenepo katika agano jipya la kiyunani. kwa lugha hiyo liliandikwa ''Biblos'', maana yake ''kitabu''au ''biblia'' maaana yake vitabu.
''BIBLIA'' ni jina jema kwa kuwa BIBLIA ni ''kitabu cha vitabu'' kwa maana ni kitabu bora kuliko vyote na tena ni ''kitabu chenye vitabu'' yaani ni kusanyiko la vitabu vingi vilivyoungamana kuwa kitabu kimoja.
pengine BIBLIA huitwa ''neno la MUNGU''[Marko 7:13, waebrania 4:12], na pengine hitwa ''maandiko matakatifu'' ua ''maandiko'' [2Timotheo 3:15-16; 2Petro 3:16}
BWANA YESU akubariki sana.
Ni mimi ndugu yako Peter mMichael Mabula
Maisha ya ushindi Ministry
MKRISTO HARISI HUONGEA NA KUHUBIRI NENO LA MUNGU SIO LA KWAKE
|
No comments:
Post a Comment