Monday, December 16, 2013

WAFAHAMU WATUMISHI WA MUNGU WANAO FANYA MAAMUZI MAKUBWA KATIKA NCHI YA TANZANIA


Na Robert E. Maziku
Bwana Yesu asifiwe.
Leo nimeona nikufahamishe baadhi ya viongozi pengine wafanya maamuzi makubwa katika nchi ya Tanzania walio okoka, hii yaweza ikawa Bungeni, Ndani ya Baraza la Mawaziri au ndani ya Halmashauri(Diwani).
Lengo ni kuonesha kuwa yote yanawezekana kwa wewe uliyeokoka, Naamini si wewe unaye ishi bali Kristo ndani yako. Pia hutumii akili yako katika mambo yako bali kwa uongozi wa Roho Mtakatifu aliye achiliwa kwako akiwa kama Msaidizi, Mfariji, Kiongozi, Mshauri na Mwelekezi kwako. Basi ikiwa ndivyo ilivyo basi wewe wafaa sana katika kuhusika katika maamuzi makubwa ndani ya taasisi zetu za Serikali kwani hautakuwa wewe unafanya maamuzi bali Kristo ndani yako, pia itakuwa Roho Mtakatifu kahusika katika upatikanaji wa uamuzi wako kwani yeye ni MSHAURI kwako.
WACHUNGAJI WALIO KATIKA MAAMUZI                                                                                                                        
Mch. Israel Natse (Mbunge)
Mch. Getrude Rwakatale (Mbunge).
  Mch. Peter Msigwa (Mbunge)
 Mch. Luckson Mwanjale (Mbunge)

Washirika/Wapendwa walioko Bungeni
   Marry Mwanjelwa (Mbunge)
   Lolesia Bukwimba (Mbunge)
     Joshua Nassari (Mbunge)
  Martha Mlata (Mbunge)

Hawa ni Baadhi ninao wafahamu mimi, kama hayupo unae mfahamu wewe haimaanishi hastahili kuwepo kwenye orodha.
MUNGU AWABARIKI WOTE

No comments:

Post a Comment