Wednesday, December 25, 2013
Tuesday, December 24, 2013
Doomsday preacher Harold Camping dies at 92
Harold Camping, the California preacher who used his evangelical radio ministry and thousands of billboards to broadcast the end of the world and then gave up public prophecy when his date-specific doomsdays did not come to pass, has died at age 92.
Family Radio Network marketing manager Nina Romero said Harold Camping, a retired civil engineer who built a worldwide following for the nonprofit, Oakland-based ministry he founded in 1958, died at his home on Sunday. She said he had been hospitalized after falling.
Camping's most widely spread prediction was that the Rapture would happen on May 21, 2011. His independent Christian media empire spent millions of dollars -- some of it from donations made by followers who quit their jobs and sold all their possessions-- to spread the word on more than 5,000 billboards and 20 RVs plastered with the Judgment Day message.
When the Judgment Day he foresaw did not materialize, the preacher revised his prophecy, saying he had been off by five months. The preacher, who suffered a stroke three weeks after the May prediction failed, said the light dawned on him that instead of the biblical Rapture in which the faithful would be swept up to the heavens, the date had instead been a "spiritual" Judgment Day, which placed the entire world under Christ's judgment.
But after the cataclysmic event did not occur in October either, Camping acknowledged his apocalyptic prophecy had been wrong and posted a letter on his ministry's site telling his followers he had no evidence the world would end anytime soon, and wasn't interested in considering future dates.
"We realize that many people are hoping they will know the date of Christ's return," Camping wrote in March 2012. "We humbly acknowledge we were wrong about the timing."
Camping graduated from the University of California, Berkeley in 1942 and started a construction business shortly after the end of World War II, according to his nonprofit's website.
For decades, Camping and his family attended the Christian Reformed Church, where he served as an elder and Bible teacher, but he left the church in 1988 when he felt it no longer faithfully represented biblical teachings, associates said.
He formed his Family Stations ministry in 1958 and eventually sold his business to become the group's president and general manager as a full-time volunteer. In 1961, Camping began hosting the Open Forum program, which was broadcast in 30 languages online and on a network of more than 140 domestic and international radio stations owned by Family Stations.
Each weeknight, Camping would transmit his own biblical interpretations in a quivery monotone, clutching a worn Bible as he took listeners' calls. He first predicted the world would end on Sept. 6, 1994 and when it did not, Camping said it was off because of a mathematical error. Followers later said he was referring to the end of "the church age," a time when human beings in Christian churches could be saved.
After his billboards warning of pending doom popped up across the country in 2010 and 2011, Christian leaders from across the spectrum widely dismissed his prophecies while atheists and revelers poked fun at his prediction. Some also criticized Camping's use of millions of dollars in followers' donations to advertise Judgment Day.
"We're not in the business of financial advice," he said shortly after the failed May 2011 prediction. "We're in the business of telling people there's someone who you can maybe talk to, maybe pray to, and that's God."
Camping also offered a measured apology, adding that he felt so terrible when his prophecy did not come true that he left home and took refuge in a motel with his wife.
"If people want me to apologize, I can apologize," he said in response to questions about some listeners' decision to give away their possessions in anticipation of the Rapture. "I pray all the time for wisdom."
Camping wrote about 30 books and booklets over the years, many from his modest brick home in Alameda, a leafy Oakland suburb. Family Radio Network said in its statement that he is survived by a wife of 71 years.
"We know that each of us remain in God's hand, and God is the One who knows our appointed time to leave our earthly body behind," the statement said.
ALIYETANGAZA MWISHO WA DUNIA AFARIKI
Mtu
aliyeuchanganya ulimwengu kwa kutangaza tarehe ya mwisho wa dunia akaweka
mabango katika kona mbalimbali za jiji la Dar es salaam, na kutoa matangazo
kwenye vyombo vya habari Bw.Harold Camping, amefariki dunia.
Gazeti
hili katika matoleo yake ya nyuma lilichapisha mkasa huo uliozua tafrani kubwa,
wakati muda uliotarajiwa wa mwisho wa dunia ulipowadia bila ya tukio lolote
kutokea, lakini baadae mtu huyo alijitia moyo na kurejea tena mbele ya
wanahabari na kutoa ufafanuzi.
Kulingana
na tangazo la wanafamilia wa Bw. Camping, alifariki dunia wiki iliyopita baada
ya kuanguka nyumbani kwake, huku maelfu ya watu wakimiminika kushuhudia, huku
wengi wakiwa hawaamini tangazo hilo
la msiba.
Mwaka
2010, kituo cha Redio kinachomilikiwa na mtu huyo kilitangaza kuwa mwisho wa
dunia ungekuwa mei 21, 2011. Kampeni kubwa ya kubandikwa kwa mabango duniani
ikafanyika, ndipo mabango yenye utisho mkubwa yakaonekana katika maeneo ya
Ubungo, Mwenge, Sinza na kwingineko.
Wanafamilia
wamesema ndugu yao
alifariki jumapili jioni akiwa na miaka 92. Mwajiliwa mmoja wa Radio ya Bw.
Camping alithibitisha kutokea kwa kifo hicho na kuongeza kuwa amekuwa mdhaifu
tangu mwaka 2011 alipopata shambulio la damu.
Inadaiwa
kuwa kutotimia kwa unabii katika tangazo lake duniani
kote kuwa dunia ingekwisha Oktoba 2011, baada ya kanisa kunyakuliwa Mei 2011,
umemkera na kumpa msongo wa mawazo.
Mwaka
2011 haikuwa mara ya kwanza kutoa unabii feki, awali mwaka 1994 alikwisha
kutabiri kuja kwa mwokozi kwa mara ya pili na hapo aliweza kuteka akili za watu
na kuwafanya wengine wengi kuamini maneno yake kutokana na nguvu kubwa
aliyokuwa akiitumia kueleza tabiri zake hizo.
Akiongea
kwenye kituo chake cha radio, mwaka 2012 mara baada ya unabii wake kutotimia
alisimama kuwa alikosea kutangaza tarehe hiyo kwani ilikuwa ina makosa katika
kujumuisha tarakimu, akakiri kutenda dhambi na kuiacha huduma yake kando.
Mkanganyo
huo ulimpelekea kuuza baadhi ya vifaa katika kituo chake cha radio na kuwaachisha
kazi wafanya kazi wengi. Baadhi ya mitandao duniani ilimuelezea Bw. Camping kama nabii wa uongo, huku wengine wakumuelezea kuwa ni
sehemu ya wale wanao papatikia kutoa nabii bila kuzithibitisha.
Wakala
wake aliyekuwa akisambaza mabango ya mwisho wa dunia jijini Dar es salaam,
Mbeya na kwingineko hakuwa tayari kuzungumzia tukio hilokwakuwa miongoni mwa
nabii za mtu huyo ilikuwa ni kunyakuliwa hai na sio kufariki na kuzikwa kama wanadamu wengine. Mtu huyo amekuwa akimiliki kituo
cha radio chenye kutangaza karibu dunia nzima tangu mwaka 1950.
CHANZO:
GAZETI LA JIBU LA MAISHA(Toleo namba 273, jumapili desemba 22~28 2013)
Sunday, December 22, 2013
Prophet Kobus Van Rensburg Dies (NABII KOBUS VAN RENSBURG AFARIKI)
A South African Afrikaner preacher, Prophet Kobus Van Rensburg has died.
Van Rensberg who pastored a humble church from the 80s until this week, had played host to countless preachers across the world and pulled several tourists from far and wide.
He was 61.
His death was announced in the UK by a co pastor who last saw him a few weeks before, Scott Liston of the Glory And Grace Church. He said:
RIP….Kobus Van Rensburg
It is with sadness that I’m letting you guys know (if you have not heard already) that Prophet Kobus Van Rensburg left this present world over night.
We thank God that he stepped out boldly to see Book of Acts reality restored to the Church of Jesus Christ – he was a pioneer.
It is our passion to see a wholesome, rounded church in the UK, lives restored, marriages & families made whole and the power of God flowing through the body: seeing people saved, healed and delivered, so that the reality of God being present in the midst of His people is seen!
In the experience that I have had, by the grace of God, I have seen how His power and love invades the impossible and lifts up the despairing to show then there really is a good God!
I thank God that I had the privilege to meet and stay with Kobus and Annelise. My prayers are with Annelise and the family..
So we look to Jesus who is the Resurrection and the Life!
From Arthur Meintjes:
“Sad to hear that Prophet Kobus van Rensburg died early this morning! Our hearts and prayers go out to the family! He was an Exceptional man of God, and was always kind and generous to me even when we did not always agree! Peace!”
“Sad to hear that Prophet Kobus van Rensburg died early this morning! Our hearts and prayers go out to the family! He was an Exceptional man of God, and was always kind and generous to me even when we did not always agree! Peace!”
UPATANISHO
Na:Cyrian Sallu.
Yohana 14:23,24 Makao ni sehemu au mahali palipotengenezwa ili kitu au kiumbe kiishi.,Neno la Mungu linasema kuwa sisi ni makao yake Yesu kristo.Yohana15:5nyakati hizi ambazo kibiblia zinaonekana kuwa ni za mwisho wanadamu wameamua kumfukuza Yesu ndani yao na kuruhusu Yule roho asi ambaye ni shetani. Yohana15;7 anasisitizia umuhimu wa sisi kuwa makao na anaahidi kutufanyia yale yote tunayomwomba tukiamini kwa jina lake atatupa.Moja ya sababu zinazoleta shida ndani ya mioyo ya wanadamu ni kutokuwa na Mungu ndani yetu, na hili linawapata wakristo wanaojichanganya,ambao kanisani kuingia kwao ni desturi dini wanaziheshimu wakiingia kanisani wanasifu, sadaka na michango mbalimbali wantoa lakini bado hawaamini uweza wa kriso ndani yao,na kristo mwenyewe ndani yao hayumo.
Kupitia neno la Kristo anasema neno lake likikaa ndani yetu na yeye atakaa ndani yetu,na kupitia neno la Mungu unamruhusu Yesu mwenyewe aje kukaa na wewe.jitahidi kila neno linapokuja kwako uliruhusu likae ili kristo akae na wewe.Yohana 6:63’’Roho ndiyo itiayo uzima mwili haufai kitu’’ Ufalme wa Mungu umeenea kila mahali na wakristo wameukataa na kuutupilia mbali ,ndiyo maana utashuhudia maajabu mengi ya kushangaza wanayafanya wakristo na siyo wapagani.Yohana 6:64.Kuamini ni kusadiki na kusadiki ni kuwa ni mmja wa waliosikia,wakristo wengi licha ya kushuhudia na kuona mambo makuu wanayotendewa na Mungu bado kuamini kwao kuko mbali kwamaana hiyo wamempa nafasi shetani ya kukaa kwao.Na kama hulisikii neno la Mungu juwa wazi kuwa sauti utakazozisikia ni zashetani kwa kuwa zipo njia zilizompa uhalali wa yeye kukaa kwako na Mtu anaye tumkishwa na shetani anaweza kuwa mchawi hata bila yeye kujua.
,Kutoka 22:18 ,19. Maana mchawi kila akikaa anakuwa na hamu ya kuwaua wenzake na huyu siku zote anamuhusu shetani na ameshampa kibali cha kukaa ndani yake.Wakristo wengi licha na kumshuhudia Kristo katika maisha yao bado wanaendelea kutambikia na kutoa kafara mbalimbali kwa shetani na maagano haya yanawapatanisha na shetani ndiyo yanayomfanya ibilisi apate nafasi ya kukaa ndani yetu na kutumiliki .Kumb18:22.
Wapo manabii na watumishi ambao shetani ndani yao ameweka pepo saba za utambuzi na wamekuwa wakiwapotosha walio wengi wakidhani kuwa ni Mungu aliyejiinua,na ili kuziepuka roho hizi ni kuwa mtu wa kusali na kuomba ili Mungu mwenyewe ajidhihirishe kwako.Kumb 5:7,jambo linalotupoteza wakristo wengi ni juu ya kusikiliza mafundisho na mafunuo ya Miungu au ya watu ambao wanakaa na shetani na roho hizo za uasi zinakaa ndani yao.Katika maandiko Mungu anazungumza juu ya kujua mti wa mema na mbaya ambao ni uhalali wa kufanya uchaguzi ,ikifika mahali ndani yako ukaanza kusikia hali ya kuwachukia watumishi bila sababu yoyote jua ndani yako shetani ameshapata nafasi,na kazi kubwa ni kuondoa kuamini kile Kristo alichofanya ndani yetu,na ukiona hivyo basi omba ibada ya upatanisho na Mungu ili Kristo aweze kutukuzwa ndani yako.
Wakolosai 1:21 Neno linasema kuwa ni Yesu awezaye kutupatanisha na Mungu baba kwa njia ya neno lake,Wapo wakristo wengi wanafanya dhambi kwa siri wakiwaficha wachungaji wao,wakristo wenzao na kusahau kuwa hao ni wanadamu na hawana mbingu ya kuwapeleka,na neno linatuweka wazi kuwa Mungu huichunguza mioyo na viuno vyake na kwake hakuna siri kwa kuwa anajua kesho na keshokutwa ya mwanadamu.Dhambi hizi anazofanya mwanadamu ndizo zinasababisha asipokee baraka,(Yeremia 48:7-8 )kwa maana hiyo ukiruhusu dhambi wewe mwenyewe kwa makusudi jua wazi kuwa huwezi kumwona Mungu wala kupokea Baraka kutoka kwake.
Kwa maana hiyo muombe Roho mtakatifu akukumbushe dhambi ulizozifanya aidha wakati unajua au hujui,ili kwamba uweze kufanya matengenezo ya maisha yako ili uweze kujenga mahusiano mema na Mungu baba ambaye neno linasema kuwa ni mwema wa yote lakini pia ni mwingi wa rehema,na huwanyeshea mvua walimao na wasiolima,kwa maana hiyo hana ubaguzi wa mtu, ukitubu yeye ni mwema anasamehe na kusahau kabisa.Basi msihi roho mtakatifu aliyeko ndani yako aendelee kufanya mabadiliko ndani yako na Yesu mwenyewe aweze kukaa kwako milele.
Mungu akubariki sana.
Bali wote waliompokea(YESU KRISTO) aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa MUNGU, ndio wale waliaminio jina lake; -Yohana 1:12
Thursday, December 19, 2013
Kumbukumbu ya miaka 25 ya Ndoa ya Mtume Prosper Ntepa na Mchungaji Deborah Ntepa.
Mtume Prosper Ntepa na Mchungaji Deborah Ntepa ni waanzilishi wa Huduma ya The Oasis of Healing Ministries iliyopo Ubungo Jijini Dar es salaam nyuma ya Ubungo Plaza. Kwa muda sasa huduma yao imekuwa ya mafanikio katika kuihubiri Injili ya Yesu Kristo na kuwa msaada kwa watu wenye shida katika mafundisho na Ukombozi nchini Tanzania. Mtume Prosper Ntepa amemuoa Deborah Ntepa miaka 25 iliyopita hivyo kwa sasa akiwa ni mtenda kazi mwenzake katika huduma Bwana aliyompa ya Oasis of Healing Ministries.Katika Miaka yao ya ndoa Mungu amewabariki na watoto 4 wakike (Alice, Angela, Faraja and Shaddai).Mwaka huu Mtume Prosper Ntepa na Mchungaji Deborah Ntepa wanasherekea 25 ya Kumbukumbu ya Ndoa yao.Uongozi mzima wa Blog na wadau wake tuna watakia Miaka Mingi yenye utosherevu na mafaniko katika Ndoa na Kumtumika Mungu.


chanzo: Jesus vision blog
Subscribe to:
Posts (Atom)




