Friday, April 4, 2014

ANGALIA PICHA ZA MCHUNGAJI GWAJIMA ALIYEPO JAPAN KWASASA KIHUDUMA

Hizi ni baadhi ya picha za mchungaji Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye kwasasa yupo nchini Japan kwa mwaliko wa kihuduma ambapo mpaka sasa Mungu ameendelea kutenda matendo makuu kwa watu wa taifa hilo ambao wanashiriki katika ibada na mikutano inayofanywa na mchungaji Gwajima








Mchungaji Gwajima na mkewe wakiwa na wenyeji wao nchini Japan. ©Ufufuo crew via Gospel kitaa

No comments:

Post a Comment