KUHUSU BLOG YA INJILI FOREVER
Injili ni uweza wa Mungu uletao wokovu, Forever ni neno la kigeni(English word) lenye kumaanisha umilele yaani kutokuwepo kwa kikomo. Maneno haya kwa pamoja yanamaanisha Injili ni jambo endelevu maadamu bado tupo duniani. kwa hakika tukimaliza kazi (injili au mambo/matendo yamsababishayo mtu kumwamini Yesu kristo) tutavikwa taji. Kinyume chake nikwamba hata kama utakuwa unampenda Yesu kristo na kumfata(kuokoka) halafu usilete chachu ya mtu kumwamini Yesu kristo au japo kumsikia habari zake HAKUNA TAJI.Mimi binafsi nimeamua kuwa chachu(kuichuchumilia mede) kwa kukuhabarisha mambo ya Yesu kristo kila jambo lihusulo Habari njema za Yesu Kristo nitaliweka hapa nikisaidiana na wasaidizi wangu walio amua kuichuchumilia mede. Kati ya mambo yatakayokuwa yanapatikana hapa INJILI FOREVER ni Mafundisho ya Biblia kutoka kwa Mitume, Wachungaji, Wainjilisti, Manabii, Walimu watakao ona ni fursa kwao kupenyeza neno la Mungu kupitia mitandao. Pia Matamasha, Semina, Mikutano Uzinduzi vyote tutahakikisha unavipata ndugu msomaji wetu.
Wapendwa tusisahau kuwa kwa sasa yatupasa kuhakikisha Injili ya Yesu Kristo inaenea kwa kiwango kikubwa sana tusikubali kushawishika kuingia katika malumbano ya watumishi wa Mungu. Mimi ninaamini IWE KWA HILA AMA HAKI INJILI YA BWANA ITAHUBILIWA.
UONGOZI WA INJILI FOREVER
1. Organization Administrator
Robert E. Maziku
0653340950
Dar-es-salaam.
2. IT Administrator
Apostle Eliya Simon
0759166934
Dodoma
3. Manager
Celine Mwakabwale
0713698607
Mwanza
4. Team Member
Victory E. Senge
0658955516
Mwanza
5. Team Member
Niyonzima Zabron
0654061221
Dar es salaam
6. Team Member
Elihuruma Mathayo
0753575414
Dodoma
7.Team Member
Ezekiel Paul
0752184464
Dodoma
TUNATEGEMEA USHIRIKIANO WAKO. WOTE TUNASEMA INJILI FOREVER
Mungu atusaidie
ReplyDeletemimi ni methew Jackson mimi na omba bwana wetu yesu kristo awa baliki na kuwakuza awajalie pia mahalifa zaidi na zaidi katika kuitetea injiri na kuisongesha mbele naomba kama kuna semina na maombi ya vijana mtuwekee kwenye blog
ReplyDeleteUsijali ndugu Mathew Jackson. Tutajitahidi
ReplyDeletesafiiiiiiiiiiiii
ReplyDelete