Thursday, October 17, 2013

PASTOR DONIS NKONE


MAMBO MUHIMU NDANI YA NDOA



Picha hapo juu
Video hapo juu

Kati ya mambo mazuri katika video hii watumishi wanaielezea Ndoa ni huduma, kunautofauti mkubwa kati ya mtu mmoja na mwingine hasa kutokana na malezi aliyotoka, unaweza ukawa wewe ulikuwa unachapwa viboko ukikosea wakati huo mwenzako hajui viboko. Kwahio unapo ingia katika ndoa tegemea kujifunza vitu tofauti kutoka kwa mkeo au mmeo. Pia mama Nnunu Nkone anaelezea majukumu ya wazaliwa wa kwanza katika familia zao wanapoingia katika ndoa, kwahio video hii sio yakuiacha kuiangalia KARIBU.

Pia Pastor Donis Nkone atakujibu kama utahitaji kumuuliza swali kutokana na mafundisho haya.Unachotakiwa ni kuandika chochote katika kibox cha comment nayeye atakujibu Mungu akubariki.

2 comments:

  1. video kwenye simu vipi??

    ReplyDelete
  2. Tatzo linashughulikiwa ikiwemo kupunguza ukubwa wa video ila kila mtu ajifunze. Endelea kujifunza kwa kupitia blog yetu. Ahsante

    ReplyDelete