BARAKA
(Na Mtumishi-GERALD ROBERT)
BARAKA NI NINI? =Baraka ni nguvu ya Mungu inayofanikisha ambayo Mungu huiachilia nguvu hiyo kwa watu wanao mtii yeye. KUMBU KUMBU LA TORATI 28:2- , Na Baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya Bwana Mungu wako, utabarikiwa mjini, utabarikiwa mashambani...... LAANA = Ni nguvu ya Mungu inayokufanya ushindwe, au usifanikiwe Kiuchumi, Ki Afya, Kazini, nk. Nguvu hii nayo hutokana na kutokumtii Mungu, au kutokufanya vile Mungu alivyokuagiza ufanye. KUMBU KUMBU LA TORATI 28:15- .......ndipo zitakuja Laana hizi zote na kukupata, utalaaniwa mjini, utalaaniwa na mashambani...... Pesa, Nyumba, Magari, Viwanda, Kuwa na Kampuni, Nk. Hayo yote ni matokeo ya Baraka, na sio Baraka halisi. Kwamaana Mungu huanza kuleta Baraka kwanza, ndipo yale Matokeo ya hufuata, mali zinazo onekana kwamacho ni matokeo ya Baraka, lakini Baraka yenyewe huwa haionekani kwa macho. Katika utangulizi wangu pale juu, nilisema
No comments:
Post a Comment