Tuesday, January 14, 2014

KAKA MKUBWA WA MCHUNGAJI SHUSHO MAREHEMU GERALD ELISHA AFARIKI DUNIA


Christina Shusho, akionekana mwenye huzuni wakati wa 

kuuaga mwili wa mzee Elisha

John shabani akiwa ameshikilia picha na msalaba wa mzee 

Elisha



Baadhi ya maaskofu na wachungaji






Wengi wamedondoka chini wakati wa kuuaga mwili




Ni kipindi cha majonzi na huzuni kubwa kwa familia ya

 Mchungaji Shusho (Mume wa Christina Shusho) kwa 

kuondokewa na kaka mkubwa, ambaye ndiye aliyekuwa

 amebaki kama Baba wa familia hiyo. Mamia ya watu 

wakiwemo maaskofu, wachungaji, marafiki wa karibu,

 wamejitokeza maeneao ya Tabata kuuaga mwili wa mzee huyo.

Mzee Elisha, amekuwa mwalimu kwa miaka mingi na kujizolea heshima kubwa ndani nan je ya nchi. Inawezekana ulikuwa hujazipata habari hizi, basi nikiwa ndugu na rafiki wa karibu wa familia ya Shusho, nakujulisha rasmi.

Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina lake na lihimidiwe

Source:  John Shabani Blog

No comments:

Post a Comment