Saturday, October 19, 2013

KING'S CHOIR

PATAKATIFU PAKO OCTOBER 2013



            Leo tunawaletea picha za Tamasha kubwa lililofanyaika Mkoa wa Morogoro na kuhudhuliwa na kwaya mbalimbali huku kusifu na kuabudu King's Choir wakiongoza hakika watu walipafikia patakatifu pake.
 Kings Choir kutoka Canaan Christian Worship Centre

 Mchungaji kiongozi na Katibu Mkuu wa C.A.G akiwa amesimama pamoja na wanakwaya wake akishuhudia watu wakiingia patakatifu pake.

 Wananchi waliokusanyika katika kanisa hilo la Canaan Christian Worship Centre lililopo barabara ya kuelekea SUA
 Hapa ilikuwa ni kucheza vyovyote ilimradi usimkanyage mwenzio, vijana wakiwajibika
Watu wa Mungu wakimwabudu Mungu wao.

TAMASHA HILO LILI ONGOZWA NA MADA ISEMAYO: UTATAMBUAJE MAJIBU SAHIHI YA MUNGU JUU YA HITAJI ULILOMUOMBA.

KUTOKANA NA MWITIKIO MKUBWA SASA KUFANYIKA TAMASHA KUBWA ZAIDI TAREHE 3 MWEZI WA 11 2013 LITAKALO ITWA PATAKATIFU PAKE SEASON 1, EPISODE 1

No comments:

Post a Comment