Saturday, October 12, 2013

ISHARA YA KUWA NJE YA AGANO LAKO NA MUNGU








1:  Kutumika na unaona kama hujatumika.

2:  Moyoni unasikia unafungika.

3:  Ndani yako unatamani kusonga mbele lakini unatamani mtu mwingine akusaidie kukufungulia mlango.

4:  Unasikia kwamba ukienda mahali pengine utafanikiwa.

5:  Unasikia utumishi wako unapwaya.

6:  Kutokuwa na baraka katika utumishi wako iliyounganisha maisha yako.

MUNGU awabariki sana 
Ni mimi ndugu yako Peter Michael Mabula

No comments:

Post a Comment