Friday, October 18, 2013

KING'S CHOIR: MOROGORO

KING'S CHOIR WANAKULETEA...

Baada ya oktoba 13, 2013 Mkoa wa Morogoro kuhudumiwa kwa njia ya Uimbaji katika Tamasha lililoitwa Patakatifu pake season 1, Sasa wanakuletea Patakatifu Pake Season 1, Episode 1 Tarehe 3, Mwezi wa 11, 2013. Watu wa Morogoro na mikoa ya jirani hii ni nafasi nyingine ya kumtukuza bwana kwa njia ya sifa.

MAHALI: CANAAN CHRISTIAN WORSHIP CENTRE(C.A.G)
SUA ROAD

No comments:

Post a Comment